Rangi safi ya kijani kibichi.Jengo la CCM Mkoa.Mwanza mjini. Mti huu unakumbukumbu ya kunyonga wahalifu katika enzi za utawala/ukoloni wa Mjerumani.
Mti huu una kumbukumbu ya kutumika kwa kuwanyonga wahalifu katika enzi za utawala wa Mjerumani.
Hili jiwe ambalo unaliona mdau linaonekana katika noti ya shilingi elfu moja litazame vizuri kisha angalia noti yako ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Meli moja MV Victoria ambayo ndiyo ilikuwa kubwa kuliko zote ikiwa imetia nanga. Boti tatu zikiwa majini katika Ziwa Victoria.
Ndege hawa wakifurahia maisha yao kandokando ya Ziwa.
Hapa ni duka la kuuza samaki lililopo kando ya Ziwa Victoria Jijini Mwanza.
Ndege hawa wakifurahia maisha yao kandokando ya Ziwa.
Hapa ni duka la kuuza samaki lililopo kando ya Ziwa Victoria Jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments: