Muonekano wa keki
Pozi la kusubiri keki
Nikiwa nimepigwa na butwaa baada ya kuona keki ilivyokuwa, maana sikutarajia, kweli Mungu mkubwa
Nikiiangalia kwa makini
Nikiwashukuru wanafamilia
Nikifurahia kwa shangwe
Umefika wakati nikawa naikata huku nikiwa nikiwa nikipewa maelezo na Margareth
'Cathbert mbona umenipa kipande kikubwa sana' anasema Ester
Keki ilikuwa tamu kweli, Ester anacheka
'Aaaah, kaka usinipe kipande kidogo please' Dada Joan ananiambia
Mzee wa Manseze, Bw. Chaoga nae aliwakilisha washkaji wake wa kambi ya fisi
Margareth akifeel keki
Mzee wa 'Mtaa kwa Mtaa' nae aliwakilisha.
Mwanamuziki wa bendi ya Machozi, Joniko Flower akishukuru baada ya kulishwa keki.
Faraji kijana kutoka Zantel akiwakilisha
Hapa alikuwa akiniambia 'give me' kama t-shirt yake ilivyoandikwa...
Martin nae alikuwepo
Mwanamuziki wa bendi ya Machozi, Bella kila keki kwa swaga.

Napenda sana kutoa shukrani zangu za pekee kwa mama yangu mpendwa, mpenzi wangu Ester Ulaya kwa sapoti ambayo amekuwa akinipa, pia ndugu jamaa na marafiki wangu. Sina cha kuwalipa bali nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: