Mashabiki wa Manchester United wakiwa katika picha ya pamoja na picha yao leo katika viwanja vya Lidaz Club ambapo mashindano ya mashabiki wa timu za ulaya wakichuana. Mashabiki wa Manchester United wakishangilia ushindi walioupata jana kati ya Chelsea Ilikuwa ni mshike mshike...Mashindano haya ambayo yameletwa kwenu na Bia ya Serengeti bado yanaendelea katika viwanja hivi vya lidaz Club. Endelea kupata matokeo na picha zaidi.
Home
Unlabelled
MANCHESTER UNITED YAENDELEA KUNG'ARA KATIKA SERENGETI FIESTA BONANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: