Meneja Mauzo wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya simu ya TIGO, Brahim akitoa ufafanuzi wakati wa semina kwa wauzaji wa modem za intaneti za TIGO jijini Dar es Salaam. Huduma ya TIGO intaneti inapatikana katika sehemu zote za jiji la Dar es Salaam ambapo modem moja inauzwa kwa 30,000/=.

Wauzaji wa modem za intaneti za TIGO wakiwa wamenyoonsha mikono kwa ajili ya kuuliza maswali katika semina yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: