Msanii anayetokea nyumba ya vipaji THT anajulikana kwa jina la DITTO, muda si mrefu anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la KIDOGO.Ditto anasema wimbo huo amemshirikisha msanii kutoka TMK Wanaume Family Mh. Temba, pia wimbo huo unapatika katika album yake mpya inayokwenda kwa jina la WAPO.


Toa Maoni Yako:
0 comments: