---
Jeshi la Polisi nchini imetoa wito kwa wafanyabiashara wanaoagiza pikipiki kutoka nchi za nje kuhakikisha wanaagiza kofia mbili ngumu kwa kila pikipiki inayoingia nchini na kuhakikisha kofia hizo zinakidhi matakwa ya shirika la viwango nchini TBS.
Kamanda wa kikosi cha usalama bara barani nchini Mohammed Mpinga amesema waagizaqji wanapaswa kujali maisha ya wateja wao kwa kuwaletea kofia zenje ubora unaostahili, hali ambayo itahamasisha uvaaji wa kofia hizo sambamba na kuokoa maisha ya watumiaji wa usafiri huo.
Hali inaonyesha kwa mwaka watu zaidi ya milioni 1.3 wanapoteza maisha na watu wapatao milioni 50 hupata vilema vya kudumu kote ambapo mwaka 2010 pekee watu wapatao 3582 walipoteza maisha, majeruhi 20,656 kutokana na ajali zilizotokea 24,6665.

Toa Maoni Yako:
0 comments: