Vijana wakivinjali katika jijini la Dar es Salaam
Duh! mpaka vyombo vinapatikana
Hali ni kama hii kama unavyojionea mwenyewe
Wengine wamepanga kabisa na kujisahau kama ni barabarani
Vijana wakipitisha bidhaa zao
Hali ndivyo ilivyo barabara kuu zote za jiji la Dar es Salaam vijana wameamua kujiajiri wenyewe kwa kufungua maduka yao wenyewe bila kujali kuwa wanaharibu mazingira hali ambalo inaleta sura mbaya licha ya viongozi wanaohusika kulifumbia macho suala hili. Siku hizi kila unachohitaji kinapatikana barabarani jambo ambalo linasikitisha sana ni baadhi ya vijana hao kuchukua nafasi hivyo kwa ajili ya uharifu kwa kuibia watu simu pamoja na vitu vya dhamani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: