Rais wa zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Hassan Servat Oktem, Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Uhusiano wa Kisiasa wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Uturuki, jana alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi Hassan Servat Oktem, Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Uhusiano wa Kisiasa wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Uturuki, baada ya mazungumzo yao jana, (kushoto)na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania, Dr Sander GURBUZ, na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika ya Mashariki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Uturuki.
Rais wa zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Hassan Servat Oktem, Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Uhusiano wa Kisiasa wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Uturuki, jana alipofika Ikulu Mjini Zanziba, (katikati)Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania, Dr Sander GURBUZ.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: