Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume, akangalia mahindi wakati alipofanya ziara ya kutembela shamba la kilimo cha mahindi katika Kambi ya Jeshi la kujenga Uchumi Bambi,wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja jana, alijionea kilimo cha Umwagiliaji maji katika shamba hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, alishiriki katika Uvunaji wa Mpunga jana pamoja na Viongozi wengine wa Serikali, huko Upenja Mkoa wa Kaskazini Unguja katika shamba la Mpunga la Jeshi la Kujenga Uchumi, JKU, (wapili kushoto) Waziri wa Kilimo, Mifugo na Mazingira Burhani Sadat Haji na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja,pia mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis, (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, alishiriki katika Uvunaji wa Mpunga jana pamoja na Viongozi wengine wa Serikali,huko Upenja Mkoa wa Kaskazini Unguja katika shamba la Mpunga la Jeshi la Kujenga Uchumi,JKU,(kushoto) Waziri wa Kilimo, Mifugo na Mazingira Burhani Sadat Haji, (kulia) Kaimu Mkuu wa JKU Kanali Sudi Haji Khatib.

Picha na Ramadhan Othman, Afisi ya Rais Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: