Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Jimbo la Jiangsu,China, Bw Zhu Bu Lou, akiwa na ujumbe aliofuatana nao, huko Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karme, akisalimiana na Meya wa Instanbul Kadir Topbas, akiongoza ujumbe wa watu 6 akiwemo Mwenyekiti wa Turkish Airline Bw. Hamad Topcu (wa pili kulia) na Balozi, Wabunge na wafanyabiashara, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar, kuonana na Rais jana.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: