Jana ilikuwa siku ya mtoto wa Afrika, msanii wa Hip Hop Tanzania Fid Q na Golikipa namba moja wa Simba Juma Kaseja, waliamua kuongea na watoto siku hiyo, hafla hiyo iliandaliwa kwa pamoja kati ya taasisi isiyo ya kiserikali ya tamasha na Ujamaa Hip Hop Darasa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: