Bajaji ikiwa imekula mweleka baada ya kupigwa pande na ndinga wakati ikiwahi kijiweni maeneo ya sinza.
Wasamalia wakifanya kazi yao kama ya siku zote. Picha kwa hisani ya Muhidin Sufiani wa Mtanzania.Ajali hii imetokea saa 8 na dakika kama kumi hivi maeneo ya Magomeni Mikumi Dar es Salaam leo... Gari la Mchanga lilifeli breki ghafla na kugonga Rav4 iliyokuwa mbele yake na kisha kugonga Hiace hadi kuibeba kama inavyoonekana pichani.
Toa Maoni Yako:
0 comments: