Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akifuatana na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Utawala bora Sophia Simba, wakiingia katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC Arusha, kuufungua Mkutano wa siku 5 kuhusu, miradi ya Jamii kwa nchi 45 zinazoendelea, jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akifungua Mkutano wa siku 5 kuhusu, miradi ya Jamii kwa nchi zinazoendelea, katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha jana, mkutano huo umewashirikisha wajumbe wa nchi 45 Dniani.

Baadhi wajumbe wapatao zaidi ya 200, kutoka nchi 45 Duniani walioshiriki katikai mkutano unaozungumzia kuhusu miradi ya jamii kwa nchi zinazoendelea wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, aliyoitoa akiufungua mkutano huo katika ukumbi wa AICC Arusha jana.

Picha na Ramadhan Othman Arusha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: