Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi hoteli ya Lake Tanganyika mjini Kigoma leo mchana. Kushoto ni Mmiliki wa hoteli hiyo Bwana George Nzunda na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Simbakalia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Lake Tanganyika mjini Kigoma muda mfupi baada ya kuifungua leo mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuwasili mjini Kigoma leo mchana tayari kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Simbakalia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Picha zote kwa hisani ya Freddy Maro.

Toa Maoni Yako:
0 comments: