Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga, Msanii wa Bongo Flava Mrisho Mpoto pamoja na Mkurugenzi wa Femina Hip, Dr. Minor Fuglesung.
Dada Lidya akitoa maelekezo kwa baadhi ya washiriki juu ya utumiaji wa taa aina ya Solata.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga akijimwaya mwaya na washiriki mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya Mwanga Salama kuzinduliwa leo mapema asubuhi.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga, Msanii wa Bongo Flava Mrisho Mpoto pamoja na Mkurugenzi wa Femina Hip, Dr. Minor Fuglesung wakitoa zawadi kwa mshindi kwanza wa shindano la insha lililotolewa na kampuni ya D.Light, Catherine Sambala kutoka Dodoma.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga pamoja na Mkurugenzi wa Femina Hip, Dr. Minor Fuglesung wakitoa zawadi kwa wanafunzi na walimu kwa Club Bora kwa mwaka 2010 ambayo ni Sekondari ya Ndanda.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga pamoja na Mkurugenzi wa Femina Hip, Dr. Minor Fuglesung wakimpa zawadi ya cheti pamoja na fedha taslimu tsh.250,000/= Mwalimu Bora Fema, Thomso Sanga kutoka sekondari ya Lugoba.
Meneja uzalishaji wa Fema,Amabilis Batamula akitangaza washindi wa mwaka 2010 huku Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga pamoja na Mkurugenzi wa Femina Hip Dr. Minor Fuglesung wakimpa zawadi ya Digital kamera pamoja na fedha taslimu shilingi 250,000/= Bw. Ridhiwan Ridhiwan aliyeibuka kuwa Balozi mpya wa Fema 2010/2011, kutoka Arusha.
Kikundi cha ngoma cha Chakivikiuta Fema Club nje ya shule kikitoa burudani mapema leo asubuhi
Kikundi cha ngoma cha Chakivikiuta Fema Club nje ya shule kikitoa burudani mapema leo asubuhi
Kikundi cha ngoma cha Chakivikiuta Fema Club nje ya shule kikitoa burudani mapema leo asubuhi
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mkutano wa Vijana ulioendana na uzindizi wa kapmeni ya "HAKI YA KUPATA MWANGA SALAMA".
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga akitoa hotuba yake.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Bw. Makongoro Mahanga akitoa hotuba yake.
Wana Femina Hip wakiburudika kwa furaha.
Mrisho Mpoto na bendi yake ya Mjomba wakitumbuiza katika uzinduzi huo mapema leo asubuhi kwenye hoteli ya belinda, Mbezi beach.
Mkurugenzi wa Femina Hip Dr. Minor Fuglesung akitoa hotuba yake mbele ya washiriki waliohudhuria uzinduzi wa kampeni ya "HAKI YA KUPATA MWANGA SALAMA" pamoja na Mkutano wa Vijana iliyoshirikisha kampuni ya D.Light pamoja na Femina Hip iliyofanyika Belinda Resort mapema leo asubuhi jijini Dar.
Dada Christine Basangwa akitoa ushuhuda wake jinsi mpango wa Elimu ya Afya wa Femina (FEMINA HIP) ulivyomsaidia kubadilisha maisha yake mbele ya washiriki wanafunzi ambao wapo kwenye Femina Club kutoka Mikoa yote ya Tanzania, kushoto ni mmoja wa wanaharakati wa Femina Hip, Hassan Bumbuli.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: