Mshindi wa Miss East Africa 2009 Cynthia baada ya kukabidhiwa gari yake.
Miss East Africa 2009 Cythia Akazuba(Rwanda) akiwa katika pozi mara baada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Miss East Africa Cynthia Akazuba(Rwanda) kati akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Dalysha Doorga kutoka (Mauritius) na mshindi Victoria Martin(Tanzania) mshindi wa tatu, waliosimama nyuma ni Majaji ambao pia ni maafisa wa Miss East Africa.
Tano bora ya Miss East Africa 2009.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: