Baadhi ya wahitimu wa mahafali ya sita ya Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani abeid Karume alipozungumza nao wakati alipowatunuku shahada jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akimtunuku Shahada ya Kawaida Bimaka Abdalla Moh’d, katika mahfali ya sita ya Chuo cha Uongozi wa Fedha, Chwaka Mkoa wa Kusini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akimtunuku Shahada ya Kawaida Philemon Pius Mechel,katika mahfali ya sita ya Chuo cha Uongozi wa Fedha ,Chwaka Mkoa wa Kusini.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: