Waandishi wa habari wanaohudhuria tamasha la nchi za majahazi kutoka Tanzania,Uganda na Kenya walizuru Mkoa wa kaskazini Unguja katika kijiji cha Matemwe kuona jukwaa la wanawake katika shughuli za kuleta maendeleo wakila baada ya shughuli nzito.
Mwandishi wa TBC Evans akiwa anashangaa mwani ambapo lisema kuwa hajawahi kuuona.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

4 comments:

  1. du!timu imekamilika...

    ReplyDelete
  2. Evance punguza kula...

    ReplyDelete
  3. Sahani zote mnakula watu hao tu da! hatari kweli.

    ReplyDelete
  4. Hongereni waandishi na nyie hamko nyuma.

    ReplyDelete