Saidi Yakubu (kushoto) akibadilishana mawazo na Mzee Tido Mhando ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Habari Tanzania (TBS) na OmarYusuf wa Znz.

Katika kusherekea Uzinduzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBS) Mkurugenzi mkuu Bw. Tido Mhando anayofuraha kukuarika katika tafrija ya uzinduzi itakayofanyika Jumatano ya tahere 26 March 2008 katika wa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda.
Kabla ya hafla hiyo kutangulia na uzinduzi rasmi utakaofanyika katika kituo cha TVT kilichoko Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi atakuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: