Mgeni rasmi Waziri wa Nishati na Madini mhe. William Ngeleja akitoa hotuba huku mwenyeji wake Bw. Eric Shigongo akiwa pembeni wakati wa sherehe za kutimiza miaka 10 ya kampuni ya Global Publishers katika ukumbi wa NSSF Waterfront. Kampuni hii ndiyo wachapaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Champion, Bongo Sun, Amani na Risasi.
Kutoka kushoto ni wasanii wa bongoflava Mwansiti, Hafsa Kazinja, Malraw, Mc Godwin Gondwe, Maunda Zahir Ally Zorro pamoja na Mc Joketi.
Bwana Misosi akiburudisha katika sherehe hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi walikifungua ShampeniMgeni rasmi katika Sherehe hiyo Waziri wa Nishati na Madini Mhe. William Ngeleja akikata keki huku akisaidiwa na bosi wa Global Publishers Bw. Eric Shigongo na Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Leila Bhanji. Kushoto kwao ma-mc ni Godwin Gondwe na Joketi. Mheshimiwa Zitto Kabwe akilishwa keki katika sherehe hizo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: