VIP SECTION (250 tickets only):1. Welcoming drink upon arrival
2. Copious appetizers (5 hot and 5 cold snacks per person)
3. Personal cash bars and waiters4. Entry to VIP After Party with K-Ci & Jojo
5. Theatre seating in front of stageNORMAL SECTION:
1. Welcoming drinking upon arrival
2. Entrance to the show3. Cash bar in ground area
4. Standing concertTickets available at Movenpick Royal Palm, Sweet Eazy and The Living Room (Millennium towers)
-----------------------------------------------------------------
tiketi za ubwete za KCI & Jojo
Tigo kugawa Tiketi za kuwaona KCI na JOJO zaidi ya 200 bure kuanzia kesho.TIKETI ZA KUWAONA KCI NA JOJO KUPATIKANA KUANZIA KESHO.
Tigo kugawa Tiketi za kuwaona KCI na JOJO zaidi ya 200 bure kuanzia kesho.TIKETI ZA KUWAONA KCI NA JOJO KUPATIKANA KUANZIA KESHO.
Tarehe 17 Machi 2008, Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo ambao ni mdhamini mkuu wa safari ya kuwaleta nchini Tanzania wasanii wawili kutoka nchini Marekani, KCI na JOJO kwa ajili ya kuwaburudisha wateja wa Tigo na Watanzania kwa ujumla imewataka wateja wote wa tigo kuanza kusikiliza kwa makini maswali yatakayoanza kuulizwa kwenye vyombo vya habari ili kujishindia tiketi za bure kwenda kushuhudia onesho la wakali hao.Akielezea utaratibu wa upatikanaji wa tiketi hizo 200 bure kwa wateja ofisini kwake, Ofisa Masoko wa Tigo Lulu Mbelwa alisema, “Tiketi hizi ni maalumu kwa wateja wakubwa na wa kudumu wa Tigo kwani upataikanaji wake unategemea jinsi mteja anavyofahamu huduma zetu na bidhaa tunazotoa kwa wateja”Kupata tiketi ni bure hauhitajiki kulipa hata shilingi moja, fahamu kuhusu huduma ya longer longa, xtreme, nipunguzie salio, tafadhali nipigie, tigo life, kutuma salio,Tigo life, Miito ya simu,(ringtones) kupiga simu nchi za nje, kujua ratiba za usafiri wa nchi za nje,jinsi ya kupata bei ya kubadilisha fedha za kigeni na viwango,kujua taarifa za hali ya hewa,vichekesho, nukuu, habari za hali ya hewa,vilevile kupata taarifa za msimamom wa soka, huduma ya soka na huduma ya kukumbushwa muda wa swala. Alieleza Vida.“Endapo mteja atajibu vizuri swali! basi moja kwa moja chombo cha habari husika kitampatia maelekezo ya jinsi ya kujipatia tiketi yake kutoka kwetu” alisisitiza Vida.Nae mratibu wa ujio wa wakali hao wa Hip Hop Bw, Cletus Wilbert alisema “Tiketi zitaanza kuuzwa kuanzia kesho katika kila eneo lililotajwa siku ya kutangaza ujio wa wakali hao KCI na JOJO.“Tiketi za kuwaona KCI na JOJO zitaanza kuuzwa rasmi kesho tarehe 18/machi/2008 kuanzia saa tano hadi saa kumi na mbili kwenye maeneo yafuatayo, Sweet Eazy iliyoko Oyster bay Hotel, the Living Room furniture iliyoko Millenium Tower na Katika Hotel ya Kimataifa ya Movenpick eneo ambalo onesho hilo la kihistoria litafanyika.
Alisema Cletus.Onesho la KCI na JOJO ni la mara ya kwanza kufika Tanzania na tunakadiria watafanya onesho la kipekee kwa wasanii wa kitanzania kutokana na kuwashirikisha wanadada wa kitanzania wanaofanya vizuri kwenye kazi zao za muziki na kuwa moja kati ya changamoto za kuinua muziki na sanaa hii ya muziki Tanzania.
KCI & JOJO watafika Tanzania siku ya tarehe 21 Machi 2008 asubuhi na ndege ya KQ na kufanya shangwe baabkubwa katika hoteli ya kimataifa ya Movenpick Tarehe (22 Machi 2008).


Toa Maoni Yako:
0 comments: