Mwimbaji maarufu Jackson Benty(kulia) akiimba huku akisaidiwa na mtangazaji wa radio Wapo Fm ya jijini Dar es Salaam hii ilikuwa ni katika tamasha la Pasaka lililofanyika mwaka juzi. Tamasha hili la pasaka linafanyika tena kesho 23 March 2008 katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa 7 mchana.
Wote mnakaribishwa. Moja ya waimbaji wa muziki wa injili kutoka mjini Arusha, Jackson Benty ambaye ametokewa kupendwa na watu mbali mbali pande ya zote za dunia kutokana na uzuri wa nyimbo zake anazotunga. Benty ameendelea kutesa kwenye chat ya muziki licha ya mwimbaji mwezake Bonny Mwaitege kuonekana kwa sasa kuwa ndiye kinara na wimbo wake wa 'Mtanitambuaje?'. Ili uweze kupata habari zake nyingi endelea kutembelea blog hii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: