Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M1uungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru. Mgombea huyo wa AAFP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Shum Juma Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru. Mgombea huyo wa AAFP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Shum Juma Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru akisaini kitabu
Mgombea Mwenza Mhe. Shum Juma Abdalla akisaini kitabu


Baadhi ya wanachama wa chama hicho waliomsindikiza mgombea wakiwa katika chumba cha kutolea fomu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: