Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME amemtaka mkuu wa wilaya ya NAMTUMBO SOPHIA KIZIGO kuhakikisha anawashirikisha viongozi wa dini na wazee katika wilaya hiyo ili kuweka mambo sawia katika utendaji wa kazi za serikali.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA KIJAMII
MKUU WA WILAYA YA NAMTUMBO ATAKIWA KUSHIRIKISHA VIONGOZI WA DINI NA WAZEE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: