
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo. Picha na Ikulu.


Toa Maoni Yako:
0 comments: