Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohudhuria mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jakaya Kikwete nyumbani kwa marehemu Bagamoyo mkoani Pwani leo Machi 8, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jakaya Kikwete nyumbani kwa marehemu Bagamoyo mkoani Pwani leo Machi 8, 2017. Kulia ni Rais Mstaamu Dk. Kikwete (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: