Mkurugenzi Mtendaji wa Coca-Cola Kwanza, Bw. Basil Gadzios akionja msisimko na muonekano mpya wa Coca-Cola kwanza Uliobatizwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola uliozinduliwa leo katika kiwanda cha Coca-Cola kwanza kilichopo maeneo ya Iyunga jirani na Tazara mkoani Mbeya Jijini Mbeya, na hatimaye timu nzima ya Coca-Cola kuzama Mtaani na kutambulisha muonekano Mpya wa Coca-Cola Amsha shangwe kwa wanambeya wote Mkoa na Wilaya zake kuanza kumsha shangwe na Coca-Cola kuanzia hii leo.
Brand Manager wa Coca-ColaTanzania, Sia-Louise Shayo akizungumza jambo mbele ya wafanyakazi na wadau wa Coca-Cola kwanza (hawapo pichani) Katika hafra fupi ya kuzindua kampeni ya muonekano mpya wa Coca -Cola mkoani Mbeya uendao kwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya.
Marketing Manager wa Coca-Cola Kwanza, Bw. Peter Mpara naye alipata fursa ya kuelezea muonekano huo wa Amsha Shangwe na Coca-Cola kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya Katika hafla fupi ya kuzindua kampeni ya muonekano mpya wa Coca -Cola Mkoani Mbeya uendao kwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya.
Baadhi ya Wafanyakazi na wadau wa Coca-Cola kwanza wakipata burudani ya muziki sanjari na kupiga picha kwa pamoja kwa kuamsha shangwe na Coca-ColaKatika hafra fupi ya kuzinduwa kampeni ya muonekano mpya wa Coca -Cola Mkoani Mbeya uendao kwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: