Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017 wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya
wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean
Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya
wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean
Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akikabidhi kwa Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai ripoti ya mahakama
kuhusu kesi za uchaguzi wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama
katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar
es salaam leo February 2, 2017. Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada
ya
sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya
Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo
February 2, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017.
PICHA NA IKULU.









Toa Maoni Yako:
0 comments: