Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan va viongozi wengine
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia,
alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo
February 1, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuka
kwenye ndege katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1,
2017. Mbele yake ni Mkuu wa Itifaki Balozi Grace Martin.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya wafayanyazi katika uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam alipowasili akitokea
Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi
za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017








Toa Maoni Yako:
0 comments: