Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Khatibu Malimi Kazungu kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa pili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakwanza kushoto, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Doto James wakwanza kulia pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Khatibu Malimi Kazungu Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: