Mheshimiwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Crown Prince wa Abudhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Majeshi ya UAE Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan katika makazi yake jijini Abu Dhabi
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na Mjumbe Maalum wa AU kwa Libya katika mazungumzo na Crown Prince wa Abudhabi Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan.Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi H.H.Reem Al Hashimy.
Toa Maoni Yako:
0 comments: