Msanii wa Bongo fleva AMADAI akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 Mkoani Tabora.
JUX na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja "NAKUCHANA" katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora.
Mkali wa HipHop Niki wa pili akishambulia jukwaaa la Tigo Fiesta 2016 mkoani Tabora mapema wiki iliyopita katika uwanja wa Ally Hassan.
Nuh Mziwanda akiimba kwa hisia nyimbo yake ya Jike shupa katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 mkoani Tabora.
Mashabiki na wapenzi wa burudani wakiitikia kwa shangwe kibwagizo cha "IMOOOOOOOO " katika usiku wa TIGO FIESTA 2016 mkoani Tabora.
Umati wa mashabiki waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta mkoani Tabora katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.


Toa Maoni Yako:
0 comments: