Hii ndio Filamu yenyewe ya Mbingu ya Wakosefu.
Ili kupata nakala yako tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia namba 0713455232

Mkurugenzi Mkuu wa Mwamba's Film Casting Stephen Mapunda akiwa na CD za Mbingu ya Wakosefu

Msimamizi Mkuu wa Blogs za Mikoa Tanzania Fredy Anthony Njeje akiwa na DVD zake za Mbingu ya Wakosefu.

Mmoja wa vijana wa Mwamba's Film Casting Montana akiwa tayari kuelekea kusambaza DVD hii sehemu mbalimbali

Faith anakwambia "Bado haujachelewa kupata nakala yako ya Mbingu ya Wakosefu ambayo ambapo utajifunza mengi".

Filamu hii kwa hakika sio ya kuikosa kabisa, na utafikishiwa pale ulipo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: