Bwana na Bibi David Saire Manoti wakipata Picha za ukumbusho katika Ufukwe wa Bahari ya Hindi

Maharusi wakipata Picha ya pamoja na Wasimamizi wao

Maharusi wakipata picha na wasimamizi wao pamoja na wasindikizaji walionogesha Harusi hiyo.

Bwana
Harusi David Saire Manoti akiwa na Mke wake mpenzi Nezia Manumbu Baada
ya Kufunga Pingu za Maisha katika Kanisa la St. Peters Jijini Dar

Maharusi wakiwa katika Ibada ya ndoa yao Takatifu

Bwana na Bibi Harusi David na Nezia wakiingia ndani ya ukumbi wa Law School
Bwana harusi David Manoti akiwa na shangwe wakati anaingia ukumbini

Kamati kuu ya Maandalizi wakitangaza zawadi yao kwa Maharusi

Ulifika muda wa kuzifungua Champagne, huku kila mmoja aliyekuwa nayo mkononi akifungua kwa mbwembwe zake

Baadhi ya wageni waalikwa wakiendelea kumiminiwa Champagne kabla ya kufanya Cheers ili kutakiana heri.

Maharusi wakipeleka Keki upande wa Bibi Harusi Familia ya akina Manumbu ikiwa ni ishara ya shukrani

Maharusi wakipeleka keki katika familia ya Bwana Harusi Saire Manoti ikiwa ni ishara ya shukrani.

Wazazi upande wa Bibi Harusi wakiongozwa na mama mzazi wa Nezia kutoa zawadi ya Familia

Wageni waalikwa wakiwa katika Harusi ya Bwana na Bibi David Manoti


Burudani ikiiendelea ... Picha zote na Fredy Njeje.
Toa Maoni Yako:
0 comments: