Waziri Mkuu Mizengo Pinda amemtembelea Rais Mstaafu wa Zanzibar Dr Salimini Amuru Juma (KOMANDOO) nyumbani kwake Migombani zanzibar ili Kumjulia hali baada ya kutoka katika matibabu Nchi China Waziri Mkuu hivi karibuni alikuwepo kisiwani Unguja kwashuguli za kikazi. Picha na Chris Mfinanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: