Mchungaji Mama Kisui akiongea katika sherehe ya (Bridal Shower) ya Maria Massaga iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Pembeni wanaosikiliza ni wanachama wa High Devoted ambao ndiyo waliyoandaa sherehe hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: