Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (aliyevaa miwani) pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga wakikata utepe kuzindua minara ya mawasiliano ya mtandao wa simu wa Tigo katika vijiji vya Iguluba na Makukula, Jimbo la Isimani, wilayani Iringa mkoani Iringa. Wengine pichani ni viongozi wa wilaya ya Iringa na baadhi ya wananchi wa vijiji hivyo. 
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akizungumza kwa wanahabari mpango wa kampuni yao unaolenga kujitanua hasa katika maeneo ya vijijini. 
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akishukuru kampuni ya Tigo kwa kufikisha mawasiliano hayo kwa wananchi wa vijiji vya Iguluba na Makuka vilivyoko katika jimbo lake la Isimani, wilayani Iringa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: