Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akitoa tamko lake kwa niaba ya nchi ya Tazania Katika Mkutano wa mwaka wa kundi la Benki ya Maendeleo unaofanyika hapa Mjini Abidjan- Ivory cost. Mkutano huo umeanza rasmi tarehe 25 Mei utaendelea hadi tarehe 29Mei 2015.
Home
Unlabelled
STATEMENT BY DR. SERVICUS B. LIKWELILE, PERMANENT SECRETARY, TREASURY AND GOVERNOR FOR THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AT THE ANNUAL MEETINGS OF THE AfDB GROUP HELD IN ABIDJAN, IVORY COAST, FROM 25TH TO 29TH MAY, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: