Tukio limetokea leo Mei 18, 2015 majira ya saa jioni.... watu waliodhaniwa ni majambazi wamevamia benki ya NMB tawi la Bigbon - Sinza Mori na kupiga risasi za kutosha na kufanikiwa kupora fuko la hela, wakati wakitoka kukimbilia kwenye gari lao aina ya Toyota Harrier lililokuwa kwenye Parking, ndipo walipokamatwa palepale eneo la Tukio.
Home
Unlabelled
MAJAMBAZI WAKAMATWA BAADA YA KUVAMIA NA KUIBA KATIKA BENKI YA NMB TAWI LA SINZA-MORI, DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.jpg)

Toa Maoni Yako:
0 comments: