Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti leo kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma, tarehe 23 Mei 2015.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Dk. Seif Ali Idi na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Ali Vuai Ali.

ZIFUATAZO CHINI NI WAJUMBE MBALIMBALI KATIKA KIKAO HICH






Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: