Mhandisi wa Sunnrgy,Erick Mhema akielezea wadau kifaa cha kuvuta maji kutokana na kutumia nishati ya jua (Solar Energy ) wakati wa mkutano wa Wadau wa Nishati ya Jua ,Umeme wa Upepo iliyofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wakifatilia mada kutoka kwa watalaam wa kampuni ya Sunnrgy iliyofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Kamishina wa Nishati na Petroli wa Wizara ya Wizara ya Nishati na Madini,Mhandisi,Hosea Mbise akizungumza na waandishi na vyombo vya habari katika mkutano wa Wadau wa Nishati ya Jua, Umeme wa Upepo iliyofanyika leo Aprili katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mhandisi wa Sunnrgy,Erick Mhema akizungumza na waandishi na vyombo vya habari katika mkutano wa Wadau wa Nishati ya Jua ,Umeme wa Upepo iliyofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Emmanuel Masaka).


Toa Maoni Yako:
0 comments: