Dk. Faustine Ndugulile akizungumza na wanachi wakati wa mkutano huo na akiwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi katika Daftari la Wapigakura wakati ukifika
Wananchi na wanachama wakiwa katika umakini mkubwa katika kumsikia Mbunge wao.
Mzee Muhamedi Selemani mwenye miaka 95,ambaye ni mlemavu wa macho akitoa malalamiko yake kwa mbunge, wakati wa mkutano huo, anapokonywa mashamba yake na mwekezaji na akiomba asaidiwe.
Dk. Faustine Ndugulile akitimiza ahadi yake kwa vikundi kumi na mbili vya ujasiliamali ambavyo kila kimmoja kimepata pesa taslim
Dk. Faustine Ndugulile akizawadiwa sare ya kitenge na muweka hazina wa kikundi cha Jitegemee Vikoba Group Happiness mfinanga wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa mkutano huo (kulia) ni Mwenyekiti Tungi Kata ya Kigamboni Joram Msuya.
Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Wazazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara ambapo Mgeni Rasmi ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).

Toa Maoni Yako:
0 comments: