Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha maji Profesa Gabriel Kassenga akimkabidhi zawadi Ashura Makwaya ambaye amekuwa mshindi katika masomo ya utatafiti wa maji mwaka wa pili katikati ni Mwakilishi wa shirikaka la maendeleo la ujerumani hapa Nnchini (GIZ) Dr Regine Qualmann ambao ndiyo wanadhamini kampeni ya kuhamasisha Wasichana kupenda masomo ya Sayansi kulia kwake ni Mkurugenzi wa mafunzo chuo cha Maji Dr Yona Kimori sherehe hiyo ya siku moja ziliwashirikisha wanafunzi wa shule mbalimbali katika kuhamasisha wasichana kupenda masomo ya sayansi hapa nchini. Picha na Chris Mfinanga.

Baadhi ya washindi wengine wakiwa na viongozi wa chuo na wageni waalikwa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: