1. Kwanza selfi ni tabia ya kike ni muendelezo wa wanawake kutembea na vioo kwenye pochi zao ili kujiangalia na kujipodoa.
2. Selfie hutumika na wanawake kuonyesha maumbile yao au urembo wao kuwaringishia wanawake wenzao na kuwavutia wanaume ww saidi unamringishia na kumvutia nani?
3. Kiuhalisia mwanaune anatakiwa awe napicha zisizozidi 10, akiwa mchanga, akibatizwa au maulidi yake, akipata kipaimara au akimaliza madrasa, akiwa primary, akiwa secondary, akiwa chuo, akioa na nyingine mbili tatu akiwa na familia au marafiki au moja ya kishujaa akiwa kakatwa govi.
4. Haupati kitu chochote kwa kupiga selfie ukiwaa unakula KFC au unapiga gambe embu fikiria ushawahi kuona wapi Mengi anapiga selfie akiwa ana launch mradi
CHUKUA HATUA ACHA UKIKE.



Toa Maoni Yako:
0 comments: