Bwana Harusi Atwaly Maulid akiwa na mke wake Bi. Farida Hamisi mara baada ya kufunga ndoa iliyofanyika Gongo la Mboto - Ulongoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Bwana Harusi Atwaly Maulid akifungishwa ndoa.
Maafiki wakipata picha na maharusi Bwana Harusi Atwaly Maulid na Bi. Farida Hamisi mara baada ya kufunga ndoa iliyofanyika Gongo la Mboto - Ulongoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuely Massaka).


Toa Maoni Yako:
0 comments: