Bondia Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza baada ya kutoka jela ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha kutoka Thailand mpambano huo wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Akizungumza matayalisho ya mpambano huo promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii.
Mpambano huo utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipipwa nchini P.ST chini ya rais wake Emanuel Mlundwa
Wamesema kuwa wao wako tayali kwa mpambano huo na bondia wa Thailand ataingia nchini siku tatu kabla ya mpambano uho ambao uatavuta isia za wapenzi wengi wa mchezo wa ndondi nchini.



Toa Maoni Yako:
0 comments: