Mkurugenzi Mkuu wa Relim Entertainment Ltd,Emelda Mwamanga akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuadhimisha miaka 11 ya Bang! Magazine katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Mkurugenzi wa Ubunifu na Masoko wa Relim Entertainment Ltd, Mpegwa Mwarang’ata na Ofisa Masoko Relim Entertainment Ltd Darliana Mbedule.
Caption Bang
2. Mkurugenzi Mkuu wa Relim Entertainment Ltd Emelda Mwamanga wakionyesha waandishi wa habari baadhi ya wanawake ambao wamewazungumzia katika Bang! Magazine wakati wa kuadhimisha miaka 11 ya Gazeti holi leo jijini Dar es Salaam.
3. Mkurugenzi Mkuu wa Relim Entertainment Ltd Emelda Mwamanga akiwasha mishumaa katika kumbukumbu ya miaka 11ya kuanzishwa kwa Bang! Magazine pamoja na kukata keki leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.
4.Mmiliki wa Full Shangwe blog, John Bukuku akilishwa keki na Mkurugenzi Mkuu wa Relim Entertainment Ltd, Emelda Mwamanga wakati wa maadhimisho ya Miaka 11 ya kuanzishwa kwa Bang! Magazine.
Picha na Avila Kakingo
---
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.
Kampuni ya Relim wachapishaji wa jarida la Bang imesema kuwa imenua wanawake wenye vipaji pamoja na kuibua vibaji kwa baadhi ya wanawake kutokana na kuandika habari zinazohusu vpaji vyao.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Kampuni ya Relim,Emelda Mwamanga amesema katika kusherekea miaka 11 tangu kuanzishwa kwa kampuni huyo wameweza kuinua wanawake katika sekta mbalimbali ikwemo ujasirimali kwa kuandika habari zao na kuonekana mchango wao katika jamii.
Emelda amesema jarida laBang katika kpindi chote limekuwa likiandika habari mbalimbali katika kuinua maisha ya wanawake ,vijana na jamii katika kutambulisha vipaji vyao.
Amesema katika miaka 11 wamejipanga katika kuinua maisha ya wanawake kwa kutambulisha vipaji na biashara zao na kuandika habari mbalimbali zitakazowezesha kutambulisha Afrika yote kwa ujumla.
Emelda amesema wamekuwa wakitambua mchango wa viongozi wa siasa katika majimbo yao na kutaka katika kuelekea uchaguzi mkuu jamii iweze kuwatambua viongozi wanaowachagua kwa kuyafahamu maisha yao.

Toa Maoni Yako:
0 comments: