Mmiliki wa mtandao huu wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akipokea fomu ya kujiunga rasmi na Chama cha Umoja wa Mablogger Tanzania (TBN), kutoka kwa Muhidin Issa Michuzi jijini Dar es Salaam. Katikati anayeshuhudia ni Blogger Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

Katibu wa TBN Shamim Mwasha, akipokea pesa kutoka kwa Jestina George, kiasi cha sh. 50,000 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kujiunga rasmi na chama hicho TBN.
Shamim, akipokea pesa kutoka kwa Muhidin Issa Michuzi, kwa ajili ya kuchukua fomu ya kujiunga rasmi.




Toa Maoni Yako:
0 comments: