Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli (katikati) akifafanua jambo wakati wa kuwatangaza majina ya washiriki wa Tuzo za Muziki Tanzania. Kutoka kushoto ni Afisa Mkaguzi wa Taarifa kutoka Kampuni ya Auditax International, Pavel Gabriel na Mkuu wa Matukio wa Baraza za Sanaa Tanzania (BASATA), Kurwijira Maregesi.
MAJINA YA WATEULE WA VINYANG'ANYIRO VYA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA.



Toa Maoni Yako:
0 comments: