Naibu kamanda wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilaya ya moshi vijijini ambae pia anatajwa kutakiwa kuwania ubunge jimbo la vunjo 2015, Innocent Melleck shirima leo 06/02/2015 ni siku yake ya kuzaliwa. 

Kwa niaba ya vijana na wananchi wa jimbo la vunjo tunamtakia afya njema na Mwenyezi Mungu ambariki kuwa na umri mkubwa mara dufu.Tupo nae katika kutekeleza ndoto za maisha yake mwaka huu 2015.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: